Baada ya klabu nyingi kuwalalamikia waamuzi wanaochezesha
mechi za ligi kuu soka Tanzania bara Mwenyekiti wa kamati ya waamuzi nchini
SALUM CHAMA amesema klabu paoja na mashabiki wanapaswa kuwa wavumilivu kutokana
na kamatia yake kuendelea kufatilia waamuzi wanaofanya vibaya katika ligi.
SALUM CHAMA amesema ni kweli wameanza kupata
malalamiko ya waamuzi wanaochezesha vibaya katika ligi hiyo na kuwachulia hatua
kwa wale wawaamuzi waliokuwa wakichezesha ligi hiyo.
Post a Comment