BENCHI LA UFUNDI LA STARS WATEMBELEA MJI WA BILDA.
Mapema leo asubuhi, benchi la ufundi la Taifa Stars pamoja na wachezaji
wake walifanya matembezi ya miguu kwa dakika 30 katika viunga vya mji
wa Bilda kuweka miili tayari kwa mechi ya usiku wa leo dhdi ya Mbweha wa
Jangwani timu ya Algeria
Post a Comment