Kamati iliyoundwa na Shirikisho la soka nchini
Tanzania TFF ya kusaidia timu ya Taifa ya Taifa Stars imeendelea kupata
wadhamini wa kuiweza timu hiyo kujimudi katika Nyanja mabimbali za kifedha.
katibu Mkuu wa kamati hiyo TEDDY MAPUNDA leo
amewatangaza wadhamini wawili ambao ni kamuni ya benk ya EQUITY na hoteli ya
Serena iliyopo jijini Dar es salaam.
Kwa upande wake Msimamizi kitengo cha Masoko katika bank ya EQUITY
BETTY KWAKO amesema kilichowasukuma kutoa mchango wao kwa timu hiyo ni kuonyesha
uzalendo na Taifa lao.
Naye Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko kutoka Hotel ya Serena SERAPHIN LUSAMA amesema
wanaimani na timu ya Taifa Stars kwa sasa na wameamua kuiunga mkono kutokana na
jitihada zinazoionyesha timu hiyo.
Post a Comment