Klabu ya soka ya Azam Fc imekanusha taarifa ya kupokea maombi kutoka katika klabu mbalimbali zinazo shiriki ligi kuu soka Tanzania bara kutaka kumsajiri mchezaji wao Didie Kavumbagu katika dirisha dogo la usajiri
linakarbia kufunguliwa hivi karibuni.
Akizungumza na KILOWOKO.BLOGSPOT.COM Afisa habari wa Azam
Fc JAFARY IDD amesema wao kama klabu bado hawajapata taarifa yoyote kuhusu
mchezaji huyo kutokana bado anamkataba na klabu hiyo licha ya kusikia baadhia
ya vilabu vikizungumza kuhusu mchezaji huyo kwenye vyombo vya habari.
Post a Comment