
itakapomenyana na mbweha wa jangwani timu ya Algeria.
SADICK amesema pamoja na kupungua kwa morali ya
kuishangilia timu hiyo kwa kipindi
kirefu ilipokuwa ikifanya vibaya lakini kutoka na michezo kadhaaa
iliyoicheza timu hiyo hivi karibu inaonyesha ni jinsi gani timu hiyo
imebadirika na kufanya vizuri.
SADICK amesema katika mchezo huu wa jumamosi wanatarajia
kuwa na Rais wa Jamuhuri wa Tanzania Dkt.JOHN POMBE MAGUFULI ambaye na yeye
atakuwepo kuishuhudia timu hiyo ikicheza dhidi ya timu ya Algeria.
Post a Comment