
Kikosi cha timu ya
Taifa ya Tanzania Taifa Stars imepoteza mechi yake ya kirafiki ya mazoezi dhidi
ya timu ya taifa ya vijana ya Afrika Kusini chini ya miaka 23 kwa kwa kipigo
cha mabao 2-0.
Mechezo huu ulipigwa
katika dimba la uwanja wa Eldorado jiji la Johanesbur huku vijana wa Taifa
Stars wakionekana kujilinda zaidi na mchezo huo lakini wakapote kwa mabao hayo
mawili.
Kocha mkuu wa Taifa
Stars Charles Boniface Mkwasa amesema wachezaji wake walicheza kwa tahadhari
kubwa kwa hofu ya kuumia ili waweze kufanya vyema katika mchezo wao wa jumamosi
dhidi ya Algeria.
Stars sasa imeanzakujipanga
kurejea nchini siku ya kesho kwa usafiri wa shirika la Fastjet.
kikosi cha Stars
kilikuwa kikiongozwa na wachezaji :
1. Aishi
Manula
2. Shomari
Kapombe
3. Haji
Mwinyi
4. Nadir
Haroub
5. Kelvin
Yondani
6. Jonas
Mkude/Himid Mao
7. Simon
Msuva
8. Salum
Abubabary/Frank Domayo
9. John
Bocco/Elius Maguri
10.Mrisho
Ngassa/Malimi Busungu
11. Farid Mussa/Salum
Telela
Post a Comment