
Timu ya Taifa ya Hispani usiku wa kuamkia hii leo imeibuka
kidekea baada ya kuitandika timu ya Taifa ya Uingereza mabao 2-0 katika mchezo
wa kimataifa wa kirafiki.
Mabao ya Hispani yalipatikana katika dk.72 kupitia
kawa mchezaji wake Mario Gaspar huku kiungo wa klabu ya soka ya Arsenal Santi
Cazorla akididimiza msumari wa mwisho kwa didonda cha Uingereza na kizisalimia
nyavu katika dk.82 ya mchezo.


Matokeo mengine ni kama ifatavyo ambapo.
Kosovo 2 – 2 Albania
Qatar 1 – 2 Turkey
Luxembourg 1 –
0 Greece
Czech Republic 4
– 1 Serbia
Belgium 3 – 1 Italy
N.Ireland 1 – 0
Latvia
Poland 4 – 2 Iceland
Slovakia 3 – 2 Switzerland
Wales 2 – 3 Netherlands
France 2 – 0 Germany
Post a Comment