Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

SIMBA YAMKANA NIONZIMA.



http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/05/DSC_0857.jpg 

Siku moja baada ya klabua ya soka ya Yanga kuachana na mchezaji wo machachari anaecheza katika nafasi ya Kiungo Haruna Nionzima unongizo wa klabu ya soka ya Simba umekanusha taarifa za kumuhitaji mchezaji huyo ndani ya klabu hiyo.


Klabu ya soka imekanusha taarifa hizo hii leo kwa kuhusishwa na kumtaka mchezaji huyo ambae alikuwa kipenzi cha wanajangwani klabu ya soka ya Yanga kutokana na umahiri wake wa kuuchezea mpira anapokuwa dimbani.

Uongozi wa Simba kwa kupitia msemaji wao Haji Manara umesema hwana mpango wa kumchukua mchezaji huyo ndani ya klabu hiyo kutokana na kuwa na wachezaji wakigeni waliokamilisha idadi ya ya wachezaji saba kutoka nje.

“Mimi kama Haji nampenda Nionzima tena nina mahaba nae sana kutokana na uchezaji wake lakini kama klabu ya samba haina mpango wa kumchukua mchezaji huyo kutokana na tumeshakamilisha wachezaji saba wakigeni”

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget