Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

HATIMAYE CHANONGO NA UBWA WAFUZU MAJARIBIO SASA WANASUBIRI KUSAINI MIKATABA TU TP MAZEMBE.



Ubwaa na Chanongo 
Hatimaye watanzania Haruna Chanongo na Abuu Ubwa wamefanikiwa kufuzu majaribio yao baaada ya kwenda katika klabu ya TP Mazembe ya DR Congo kufanya majaribio hao na wanasubili sasa kusaini mikataba tu na klabu hiyo.


Abuu Ubwa ambaye alishawahi kukuipga katika klabu ya Yanga  na Haroun Chanongo ambayea anakipigga katika kalbu yake ya Stand United huenda wakauzwa kwenye klabu ya TP Mazembe ya DR Congo,kutokana na kufuzu majaribio ya wiki woja waliyofanya na mabingwa hao wa Afrika.

Meneja wa wachezaji hao, Fadhili Mtemi au Mataifa ambaye pia anafanya kazi na Jamali Kasongo ameiambia Kilowoko.blogspot.com kwa njia ya simu kuwa mambo yote yamekwenda vizuri na kinachosubiriwa ni Mmiliki wa klabu hiyo Moise Katumbi, kutoa maamuzi ya mwisho juu ya wachezaji hao wawili kuichezea timu hiyo kuanzia msimu ujao.

Mtemi alikiri na kuesema wao walipokea taarifa hizo kwa njia ya mdomo lakini kikubwa wanachokisubiri kwa sasa ni taarifa kwa njia ya maandishi ambayo itachukua takribani wiki moja kujua kinachoendelea juu ya wachezaji hao.

 “Kwa hivi sasa tunasubiri taarifa rasmi ya maandishi kutoka katika uongozi wa klabu hiyo kutokana kuwa tumepata taarifa za mdomo tuu ambayo huwezi jua,” Alisema Mataifa.

Na hawa wanakuwa wachezaji wengine wa 4 kama wakichukuliwa na klabu ya Mazembe ambayo imejenga imani na wachezaji wa Kitanzania baada ya kuridhishwa na wachezaji wawili wa Tanzania Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu.

Na huenda Thomas Ulimwengu sasa machungu yakamuisha kutokana na watanzania hao kuchukuliwa baada ya ndugu yake Samatta kupata ulaji nje .

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget