Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

KIKOSI CHA KILIMANJARO QUEENS CHATAJWA.



Image result for SEBASTIAN NKOMA NA TWIGA STARS 
Kikosi cha wachezaji 26 cha timu ya wanawake ya Tanzania Kilimanjaro Queens kimetangazwa Alhamis hii kwa ajili ya kwenda nchini Uganda kuwania nafasi ya kushiriki fainali za Michuano ya Kombe la Mataifa Afrika Mashariki na Kati CECAFA kwa upande wa wanawake.

Akitaja kikosi hicho kocha mkuu wa timu hiyo Sebastiani Nkomba amesema kikosi hichi cha wachezaji 26 hakijabadirika san asana na kilichopita na amefata orodha ya wachezaji iliyoachwa na aliyekuwa mwalimu wa timu hiyo Nasra Juma.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Chama cha soka la wanawake nchini Tanzania Amina Karuma amesema kwa sasa wamejipanga vyema na soka la wanawake nchini Tanzania na wanatarajiwa kuanzisha Ligi ya wanwake am,bayo itahusisha Mikoa 9 ya nchini huku timu shiriki zikiwa ni 12.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget