Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

GIROUD AJITUMBUA JIPU MWENYEWE.



 
Nyota wa klabu ya Arsenal, Olivier Giroud amesema yeye pamoja na wachezaji wenzake wanapaswa kuongeza umakini pindi wawapo mbele ya goli ili waweze kurejesha matumaini yao yam bio za ubingwa wa Ligi Kuu.


 Kauli hiyo imekuja kufuatia Arsenal jana kung’ang’aniwa sare ya bila kufungana na Southampton na kuwafanya kuporomoka mpaka nafasi ya nne katika msimamo wa ligi wakiwa alama tano nyuma ya vinara Leicester City.

Giroud amesema anafahamu safari bado ni ndefu lakini wanahitaji kuongeza bidii pindi wanapofika katika lango la wapinzani ili waweze kupata matokeo wanayohitaji.

Klabu ya Arsernal mchezo wao ujao watakutani dhidi ya Bournemouth.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget