
Klabu ya Man imefanyikiwa kupata ushindi wake wa kwanza katika michuano ya klabu bingwa barani
ulaya msimu huu usiku wa kuamkia leo.
Man United wakiwa katika dimba lao la Old Trafford
walipata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Vfl Wolfsburg kwa goli la Daniel
Caligiuri aliyeanza kuwaandikia Wolfsburg bao la mapema kabla ya Juan Mata
kusawazisha bao hilo kwa mkwaju wa penati na baadae Chris Smalling kufunga bao
la ushindi.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.