
Baada ya kurejea nchini wakitoke nchini Congo DRC
wachezaji wa Tanzania MBWANA SAMATTA na THOMAS ULIMWENGU Mkuu wa mkoa wa Dar es
Salaam SAID MECKY SADICK amewapongeza
wachezaji hao baada ya kufanya vizuri
katika klabu yao ya TP Mazembe ya huko Congo.
Akitoa pongezi hizo SADICK amesema ni heshima kwa
wachezaji wahao wlivyoonyesha uwezo wao katika klabu yao kwa kucheza kwa
kujituma na kuonyesha umahiri mkubwa na kuhakikisha klabu yao inatwaa kombe
hili la vilabu bingwa Afrika.
Kwa upande wake mchezji MBWANA SAMATTA amewashukuru
watanzania waliomuunga mkono katika kipindi alichokuwa jijini Lumbumbashi
huku akiweka mkazo zaidi kwa sasa katika
mchezo wao wa jumamosi dhidi ya timu ya Algeria pamoja na klabu yake kutwa
kombe hilo.
Naye THOMAS ULIMWENGU amesema kwa sasa wao wanachaangalia
ni kusonga mbele na kuweka nguvu zaidi katika mchezo wao huo pamoja na yaote
yaliyotokea jumapili iliyopita walipocheza dhidi ya klabu ya USM Algers.
Post a Comment