ARSENAL YAPAA KILELENI MWA LIGI KUU SOKA NCHINI UINGEREZA.
Kama ulikosa kucheki mapicha ya Arsenal wakihangaika kupanda kileleni waliposhinda usiku wa jana mabao 2-0 dhidi ya Bournemouth haya hapa tumekuwekea hapa.
wchezaji wa Arsenal wakishambilia langoni.
Mesut Ozil akifunga bao kati ya mawili ya Arsenal.
winga wa Theo Wallcot Arsenal akiwania mpira na mchezaji mwenzake.
Post a Comment