Nohodha wa klabu ya soka ya Manchester UnitedWayne
Rooney amerejea klabuni kwake na kuwavaa Norwich City huku Anthony Martial pamoja
na Memphis Depay vile vile wataanza katika mchezo huo.Nohodha huyo wa United anaweza kupangwa katika kikosi cha kwanza kama mshambuliaji wa kati kwa mujibu wa kocha wake Louis van Gaal, pamoja na Martial kurudi katika nafasi ya winga hukuJuan Mata akicheza namba 10.
kikosi cha Manchester United kikiongozwa na :
De Gea; Young, Jones, Smalling, Blind; Carrick,
Fellaini; Memphis, Mata, Martial; Rooney.
Post a Comment