Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

MVUA YAHARIBU MIPANGO YA MTIBWA.



 
Mchezo ulipangwa kucheza leo kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Stand United umevunjika kutokana na mvua kubwa kunyesho huko Manugu Mkoani Morogoro na hivyo kuendelea siku ya kesho.


Afisa habari wa Mtibwa Thobias Kifaru amesema mvua hiyo ilikuwa kali hivyo kuahirishwa kwa mchezo huo lakini siku ya kesho utaendelea kwa kipindi cha pili.

Kifaru amesema mchezo huo umevunjika hii leo lakini klabu yake ilikuwa inaongoza kwa bao moja kwa bila hivyo wanaimani watafanya vizuri zaidi siku ya kesho.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget