KOCHA Arsene Wenger amejitapa na kusema mchezaji wake
aliyeghalimu £17m Lucas Perez tayari ameshawiva na kuwasha moto kwa sasa.
Mchezaji huyo raia wa nchini wa nchini hispani
ameifungia timu yake ya arsenal mabao 2 katika ushindi mabao 4-0 walioupata
mbele ya Nottingham Forest.
Granit Xhaka pia amekuwa mchezaji mzuri kwa
kuonyesha kandanda safi siku za hivi karibuni na kuzidi kuweka matumaini kwa
mashabiki wa timu hiyo.
KOCHA huyo wa the Gunners mzee Wenger amesema kuwa Perez
amefanya kzai ya ziada usiku wa kuamkia hii leo na kuisaidi timu yake kutoka na
ushindi katika michuano ya Kombe la Ligi.
Post a Comment