Hali ya wachezaji na Kocha wao Jose Mourinho
wa Chelsea ni mbaya baada ya kikosi chake kufungwa kwa mikwaju ya penaksti 5-4 katika
mechi ya Capital One Cup.
Stoke City ndiyo wababe wa Chelsea safari
hii baada ya kuanza kuwafunga lakini wakasawazisha na kufanya dakika 90 na
baadaye mchezo ukamalizika kwa sare ya 1-1.
Post a Comment