Ligi ya soka la ufukweni inatarajia kuanza kuatimua
vumbi lake tena mapema mwezi ujao jijini Dar es Salaam huku ikishirikisha zaidi
wanafunzi wa vyuo.
Akizungumza na kutoka viwanjani Kocha Mkuu wa Timu
ya Taifa ya soka la ufukweni JOHN MWANSASU amesema kitu kilichochelewesha
kuanza kwa ligi hiyo ni baada ya kufungwa kwa vyuo vingi jijini Dar es salaam huku
akiongeza kuendelea na mchakato huo pamoja na kutafuta wadhamini.
Post a Comment