Timu ya taifa ya mpira wa magongo ya wanawake leo inatupa karata yake ya kwanza kwa kucheza mechi yake ya kwanza ya ufunguzi dhidi ya zimbambwe katika mashindano
kufudhu olimpic ya afrika yanayofanyika huko nchini afrika kusini.
Kocha wa timu ya taifa ya wanawake ya mpira wa Magongo
Varentina amesema kwa upande wa wanaume
mechi yao ya ufunguzi watacheza na misri siku kesho.
Aidha kocha Varentina Quaranta amesema kwa upande wao
timu yake ipo vizuri kuanza mchezo huo wa ufunguzi dhidi ya timu ya Zimbabwe
richa ya kupoteza mchezo wao wa kirafiki walipocheza na timu ya chini ya miaka
21 ya Afika ya Kusini kwa kupoteza mchezo huo kwa kufungwa magoli 8-0.
Post a Comment