Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

MALINZI ATUMA SALAMU ZA POLE KWA MUSONYE.



 

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi ametuma salamau za rambirambi kwa Katibu Mkuu wa CECAFA, Nicholas Musonye kufuatia kifo cha mama yake mzazi, Theresia Musonye kilichotokea jana asubuhi katika mji wa Kakamega nchini Kenya.

Katika salamu zake, Malinzi amempa pole Musonye na kusema kwa niaba ya familia ya mpira wa miguu na watanzania wote, wako pamoja nae katika kipindi hiki cha kigumu cha maombelezo na kuwapa pole ndugu,jamaa na wafiwa wote.

Bi Theresia Musonye amefariki akiwa na umri wa miaka 77 na kwa taarifa zaidi na taratibu za mazishi zitatolewa na familia ya marehemu.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget