
Katika mchezo wa leo wa timu ya Hispani wakikipiga
dhidi ya
England wameamua kutambulisha jezi zao mpya ambazo zitakuwa zikitumika katika michuano ya Euro mwaka 2016 uwanjani.

Mchezo huo wa leo utakuwa ni wa kirafiki ambao unatazamiwa
kuwa na ushindani wa aina yake kutokana na viwango vya kila timu ambayo inacheza.
Post a Comment