Mwaisabula asema ligi imekuwa gumi zaidi pale timu inapokuwa imepoteza mchezo hata moja tu hivyo husababisha kujipanga na kufanya uzuri katika mchezo mwingine .
Aidha Mwaisabula ametoa maoni yake kwa timu ambazo huenda zikashuka daraja kwa msimu huu huku akizipa nafasi kubwa klabu za Yanga na Azamu kutwaa ubingwa katika msimu huu.
Post a Comment