
Akizungumzia utaratibu huo katibu Mkuu wa klabu ya soka ya Yanga Dkt.Jonas Tiboroha amesema kwa sasa bado hawajaingiza mtaani jezi zo zinazotumika msimu huu kwa sababu wanatafuta utaraibu mzuri na maalumu wa kuuza jezi hizo orijino.
Pia Tiboroha amezungumzia uchaguzi ndani ya klabu hiyo na kuwataka mashabiki kuwa wavumilivu kwa kipindi hiki wanachoandaa utaratibu wa uchaguzi huo.
Post a Comment