
Baada ya kutajwa kwa majina hayo FIFA itaketi chini na
November 30 watachuja na kutangaza magoli bora matatu ambayo January 11 mwaka 2016
jijini Zurich nchini Uswiss watatangaza
goli moja kati ya matatu bora na mshindi atapewa tuzo ya ufungaji bora wa goli
hilo bora la dunia.
Sasa katika kutangawa kwa wachezaji hao na magoli
yenyewe ni pamoja na goli la Lionel Messi, Robin van Parse, Carlos Tevez
na David Ball.
Ikumbukwe kuwa tuzo
hizi za goli bora ilianzishwa October 20 mwaka 2009 na Shirikisho la soka
duniani FIFA na aliyekuwepo
madarakani kwa wakati huo ni Rais wa FIFA Sepp
Blatter tuzo hii uhusisha magoli bora kwa mwaka husika.
Post a Comment