
Kikosi cha Taifa Stars chini
ya kocha wke Charles Boniface Mkwasa leo kinaendelea mazoeezi yake katika kambi
yake huko jijini Johannesburg, Afrika Kusini kwaajili ya mchezo wake w\
kirafiki dhidi ya Universty of Protea siku ya kesho.
Stars inaendelea na kambi
yake huko Afrika Kusini kwajili ya mchezo wake dhidi ya Algeria wa kusaka
tiketi ya fainali za kombe la dunia nchini Uswisi mwaka 2018.
Mchezo wa Stars dhidi ya
Algeria unatarajiwa kupigwa jijini Dar es Salaam Novemba 14 mwaka huu katika
dimba la uwanja wa Taifa.
Post a Comment