Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

FARID MUSSA KAMA SAMATTA,SASA AELEKEA NCHINI SLOVAKIA KWAAJILI YA MAJARIBIO.



 

Baada ya Mshambuliaji wa Tp Mazembe Mbwana Samatta kupata timu nchini Ubelgiji sasa mchezaji wa klabu ya soka ya Azam FC Farid Mussa nyota yake imeng’aa baaada ya kuhitajika nchini Slovakia.


Klabu ya Azam FC inaelekea Visiwani Zanzibar bila kuwa na mchezaji huyo ambaye anaelekea nchini Slovakia kwaajili ya kufanya majaribio ambayo kama akifanikiwa basi na yeye huenda akawa kati ya wachezaji mahiri ambao wamepata bahati ya kucheza nje ya nchi.

Klabu ya Azam FCimekubali kumuachia mchezaji huyo kwenda kwenye majaribio nje ya nchi hivyo kama mchezaji huyo atafuzu majaribio hayo watahitaji kukaa mezani kujadiri hatma ya mchezaji huyo.

Baada ya Farid kuelekea majuu sasa nafasi yake imechukuliwa na mchezaji Raadhani Singano ambae amekuwa akisugua benchi mara nyingi tangu ahamie klabuni hapo akitokea katika klabu ya Simba.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget