
Kuna tetesi kuwa klabu ya soka ya Manchester City imeingia
katika changamoto ndani ya klabu ya soka ya Real Madrid's kwaajili ya kumsajili
mchezaji wa klabu hiyo Isco kwa ada ya uhamisho wa £32 million, kwa mujibu wa
gazeti la The Sun.
Mchezaji huyo ambaye ni raia wa nchini Hispani
hanafuraha ambayo anacheza kwa muda mchache Santiago Bernabeu, na boss Man city
Manuel Pellegrini yupo tayari kutwaa
kiungo huyo.
Klabu ya Manchester United nayo imeingia katika
ushindani wa kumnasa mchezaji huyo mwenye miaka 23 lakini City wanapewa nafasi
kubwa ya kutwaa mchezaji huyo katika dirisha la usajili litakalo funguliwa January
mwakani.
Post a Comment