Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

TFF YAWAJIBU KMC.



 
Baada ya Klabu ya KMC inayoshiriki Ligi daraja la kwanza kuindika barua kwenda Bodi ya Ligi nchini kupigwa kuchezeshwa kwa mchezaji wa aliyekuwa akikipiga Friends Ranger katika mchezo wao walipocheza dhidi ya klabu ya African Lyion Shirikisho la soka nchini Tanzania lakanusha taarifa hizo.


Mkurugenzi wa mashindano kutoka TFF Martin Chacha amesema mchezaji huyo ambae ni Amad Juma alisajiliwa na klabu ya African Lyion kuanzi Desemba 14 mwaka huu na ni mchezaji halali wa klabu hiyo.

Chacha amesema mchezaji huyo alisajiliwa kihalali kabisa tofauti na klabu ya KMC inavyosema kuwa ni mchezaji wa Friends Ranger ambapo wanalalamika kuchezeshwa katika mchezo wao.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget