
Mlinda mlango wa klabu ya Arsenal Petr
Cech amesema alijiunga na washika mitutu hao wa Jiji la London kwa sababu
anaimani ya kubeba ubingwa msimu huu.
Mchezaji huyo ambaye ni raia wa Jamuhuri
ya Czech alikuwa mlinda mlango wazamani wa Chelsea kwa kipindi cha misimu
11lakini aliikacha klabu hiyo na kuahamia Emirates Stadium.
Cech mwenye miaka 33 ameisaidia Arsenal
kupaa hadi kileleni mwa msimamo wa ligi kuu soka nchini Uingereza na amevunja
rekodi ya David James' katika ushindi wa mabao 2-0 walioupata kutoka kwa AFC Bournemouth
jumatatu hii.
Cech amesema sio maamuzi rahisi
kuhama katika klabu ambao ulikuw ukiitumikia katika miaka mingi lakini yeye
siku zote napenda kwenda katika klabu ninayotaka.
Akihojiwa Cech amesema anacheza
mpira sio kwa kufurahi,kupenda changamoto na kushindana na timu bora lakini
anapenda kushinda michezo mingi na kubeba kombe.
Post a Comment