Kocha mkuu wa klabu ya soka ya
Everton Roberto Martinez amesema mshambuliaji wake Romelu Lukaka amekuwa lulu
kutokana na kuwa kila klabu inahitaji huduma ya mshambuluaji huyo.
Lukaku amefunga mabao 11 katika
mchezo 10 ya mwisho aliyocheza katika mshindano yote na amekuwa mchezajia ghali
zaidi ndani ya klabu hiyo tangu asajiliwe kwa ada ya uhamisho wa £28million
akitokea katika klabu ya Chelsea July mwaka 2014.
Martinez amesema mchezaji huyo raia wa Ubelgiji amekuwa na matamanio ya kucheza katika Ligi ya mabaingwa lakini wataangalia katika dirisha la usajili litakalofunguliwa January mwakani.
Martinez amesema mchezaji huyo raia wa Ubelgiji amekuwa na matamanio ya kucheza katika Ligi ya mabaingwa lakini wataangalia katika dirisha la usajili litakalofunguliwa January mwakani.
Martinez amesema akimuangalia Lukaku
ni mchezajia ambae anajituma kawwajilia ya kuisaidia timu na ameonyesha kiwango
bora zaidi tangu asajili ndani ya klabu hiyo huku baadhi ya timu ulaya zikimtolea
macho.
Post a Comment
Yupo katika kiwango bora