Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

MCHAKI ATAKA HAKI ITENDEKE KATIKA KLABU YAKE.



 

Klabu ya KMC inayoshiriki Ligi daraja la kwanza imeandika barua kwenda Bodi ya Ligi nchini kupigwa kuchezeshwa kwa mchezaji wa Friends Ranger katika mchezo wao walipocheza dhidi ya klabu ya African Lyion.


Frank Mchaki ambaye ni kiongozi wa klabu ya KMC ya amesema klabu ya African Lyion ilimchezesha mchezaji asie alali katika mchezo wao ulioisha kwa KMC kufungwa mabao 2-1.

Mchakli amesema mchezaji huyo ambae alichezeshwa katika mchezo wao alikuwa anakipiga katika klabu ya Friends Ranger na alikuwa hajasajiliwa rasmi na klabu ya African Lyion kuchezeshwa katika mchezo wao.

Mchaki amemtaja mchezaji huyo ni Hamad Juma na ameitaka TFF kuwa makini katika kupitisha majina ya ya wachezaji waliokatika utata na timu zao.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget