
Kikosi cha msimbazi Simba leo kimeondoka kuelekea
Mkoani Mtwara kwaajili ya kukamilisha mchezo wao wa ligi kuu soka Tanzania bara
dhidi ya Ndanda Fc utakaochezwa jumamosi hii klaba ya ligi kusimama tena.
Kikosi cha Simba kimeondoka hii leo huku kikiwa na
kumbu kumbu ya kutoka sare katika mchezo wao uliopita dhidi ya klabu ya Mwadui
FC jumamosi iliyopita mchezo uliochezwa Mkoani Shinyanga.
Ligi kuu itasimama kwa muda kupisha mashindano ya
Kombe la Mapinduzi yatakayofanyika Visiwanai Zanzibar huku klabu ya Simba nayo
ikiomba kusogezewa mbele tareheza mchezo wake katika mashindano hayo.
Post a Comment