Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

SERIKALI YAMPA GWARA SAMATTA.



https://pbs.twimg.com/profile_images/378800000655416600/f0bcf46c65b0a27cbd78d9222cc25282.jpeg 
Serikali imetoa Baraka zake kwa mshambuliaji nyota wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, Mbwan Samatta baada ya kupata ulaji wa kusajiliwa na klabu ya soka ya Genk ya nchini Ubelgiji.


Samatta mapema leo hii alitembelea Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo huku akiwa na mwenyeji wake Nape Nnauye na kupewa bara hizo za kunda ulaya kucheza soka lake.

kwa upande wake Waziri Nnauye amesemaSerikali itamuunga mkono mchezaji huyo baada ya konyesha umahiri wake katika kandanda na kuitangaza nchi ya Tanzania kiamataifa.

Samatta ameishakubaliana na klabu ya Genk ya Ubeligiji na sasa limebaki suala la Genk kumalizana na TP Mazembe ili January mwakani aweze kuhamia moja kwa moja klabuni hapo.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget