Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

LUKAKU AGEUKA LULU ULAYA.



Every club would love to have Lukaku, says Martinez 

Kocha mkuu wa klabu ya soka ya Everton Roberto Martinez amesema mshambuliaji wake Romelu Lukaka amekuwa lulu kutokana na kuwa kila klabu inahitaji huduma ya mshambuluaji huyo.


Lukaku amefunga mabao 11 katika mchezo 10 ya mwisho aliyocheza katika mshindano yote na amekuwa mchezajia ghali zaidi ndani ya klabu hiyo tangu asajiliwe kwa ada ya uhamisho wa £28million akitokea katika klabu ya Chelsea July mwaka 2014.

Martinez amesema mchezaji huyo raia wa Ubelgiji amekuwa na matamanio ya kucheza katika Ligi ya mabaingwa lakini wataangalia katika dirisha la usajili litakalofunguliwa January mwakani.

Martinez amesema akimuangalia Lukaku ni mchezajia ambae anajituma kawwajilia ya kuisaidia timu na ameonyesha kiwango bora zaidi tangu asajili ndani ya klabu hiyo huku baadhi ya timu ulaya zikimtolea macho.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget