Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

VAN GAAL AJIPA MATUMAINI YA KUBADILISHA KIKOSI CHAKE.



Wayne Rooney and Louis van Gaal 
Meneja wa Mashetani wekundu wa jiji la Manchester United Louis van Gaal amesema klabu yake inaweza kubadirika muda sio mrefu na kuonyesha kiwango bora zaidi.


Presha aliyonayo Van Gaal hivi sasa katika kikosi cha ni kukubwa na uwenda akapoteza kibarua chake katika maskani ya klabu hiyo iliyopo Old Trafford.

United wamecheza michezo sita bila kupata ushindi wowote huku Van Gaal akiwa na matumaini ya kubadirika kwa kikosi chake kutokana na mwendendo mmbovu walionao hivi sasa.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget