Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

YANGA YAENDELEA KUJIFUA KUELEKEA MAPINDUZI ZANZIBAR.



 

Kikosi cha Yanga leo imefanya mazoezi yake katika uwanja wa karume jijini Dara es Salaam kwaajili ya maandalizi yao kuelekea katika michuano ya kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kufanyika visiwani Zanzibar January mwakani.


Kocha Msaidizi wa klabu hiyo Juma Mwambusi amesema maandalizi yanazidi kupamba moto kujiandaa na michuano hiyo huku akijitapa kufanya vizuri katika michuano hiyo kutokana na kundi ambalo wamepanga katika kombe hilo.

Mwambusi amesema kutokana na kiwango cha Yanhga walichokionyesha katika mchezo wao uliopita dhidi ya Mbeya City na kuonyesha kiwango kizuri cha kushinda mabao 4-o mchezo uliochezwa katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam hivyo anakiamini kikosi chake.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget