Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

DJOKOVIC,SERENA MAMBO SAFIII AUSTRALIA OPEN



 
Mabingwa watetezi wa mashindano ya tenisi ya Australian Open Novak Djokovic na Serena Williams wamefuzu kwa raundi ya tatu ya mashindano hayo.


Pamoja na mabingwa hao kushinda lakini Nyota mwingine Petra Kvitova hata hivyo ameshindwa kufuzu katika mashindano hayo.

Mchezaji nambari moja duniani upande wa wanawake Williams alimtoa raia wa Taiwan Hsieh Su-Wei 6-1 6-2 naye Djokovic akamondoa Mfaransa Quentin Halys kwa kumshinda 6-1 6-2 7-6 (7-3).

Roger Federer na Maria Sharapova pia wamesonga kwenye mashindano hayo yanayoendelea Melbourne.

Lakini bingwa mara mbili wa Wimbledon Kvitova wameshindwa 6-4 6-4 na raia wa Australia Daria Gavrilova mwenye umri wa miaka 21.

Nyota wa Uingereza Andy Murray na Johanna Konta watarejea uwanjani raundi ya pili Alhamisi.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget