Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

JE KESHO WATAENDELEZA UBABE WAO MJINI TANGA?.



 
JKT Ruvu dhidi ya Maji maji katika uwanja wa Karume.


Wagosi wa kaya Coastal Union watakua wenyeji wa Yanga.

Wekundu wa msimbazi Simba sport klabu wao watakua wenyeji wa Afrikani Sport mchezo utaochezwa kwenye uwanja wa taifa Dar Es Salaam.

Mtibwa Sugar watacheza na Stand United.

Huku Mwadui Fc ya Shinyanga watakipiga na majirani zao wa Mwanza Toto Afrikans. 

Kagera Sugar watapima ubavu na Mbeya City.

Ligi hiyo itaendelea tena siku ya jumapili kwa mchezo mmoja kuchezwa kwa Mgambo Jkt kucheza na Ndanda FC.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget