Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

KABAGE AIONYA MAJI MAJI.



 
Baada ya kurejea kutoka Mafinga kwenye kombe la FA walipocheza dhidi ya klabu ya Lipuli na kupata ushindi wa bao 1-0 sasa klabu ya soka ya JKT Ruvu kesho inajitupa dimbani katika uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam katika mchezo wa Ligi kuu soka Tanzania bara dhidi ya klabu ya Maji maji.


Akizungumzia hali ya kikosi chake kocha msaidi wa klabu ya JKT Ruvu Mrange Kabange amesema wachezaji wake wote wana morali nzuri zaidi katika mchezo huo baada ya kupata ushindi huo katika kombe la FA hivyo mashabiki wake wakae mkao wa kula tu siku ya kesho.

Klabu ya JKT Ruvu inashuka dimbani huku ikiwa na kumbukumbu ya kupoteza michezo miwili mfululizo ya liki kuu dhidi ya mnyama Simba na maafande wenzao Mgambo Shooting katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaaam. 

Wakati JKT Ruvu ikishuka dimbani siku ya kesho ikiwa katika hali mbaya nayo klabu ya soka ya Maji maji inashuka katika uwanja wa karume huku na wao wakiwa dhohofu ini hali baada ya kupata matokeo yasiyo ridhisha katika mchezo wao wa mwisho wa Ligi kuu.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget