Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

KOMBE LA MAPINDUZI VISIWANI ZANZIBAR HAPATOSHI SIKU YA KESHO.



 

      RATIBA YA KOMBE LA MAPINDUZI 2016 ZANZIBAR.


 
Mashabiki mbalimbali wakiwa wamekaa mkao wa kula sasa Mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanatarajia kutimua vumbilake siku ya kesho katika Uwanja wa Amani visiwani Zanzibar.

Mechi kubwa za ufunguzi katika mashindano hayo zitazikutanisha klabu ya soka ya wanajangwani Yanga, Mafunzo, Mtibwa na Azam zikishuka dimbani kupambana.

Klabu ya soka ya Simba yenyewe ikiwa katika hali ya furaha kabisa baada ya ushindi wa jana baada ya kuwatandika Ndanda bao 1-0 watakuwa katika dimba siku ya jumatatu wakikutana na timu ya Jamuhuri huku URA wakikutana na JKU.

Michuano hiyo ina makundi mawili pekee ambapo kundi A lina timu za Simba,Jamhuri, JKU na URA na kundi B lina Yanga, Mtibwa, Azam na Mafunzo.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget