Mlinzi
wa klabu ya soka Arsenal Laurent Koscielny imeisababishia klabu yake kuanza
mwaka mpya wa 2016 vizuri hii leo baada ya kuipatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya
Newcastle United.
The
Gunners ambao leo hii wamepata ushindi njiti wanafurahia suluhu waliyoipata
wapinzani wao Leicester's ambao wanawakaribia kwa karibu zaidi wakitofautiana
alama mbili pekee.
Vijana
wa mzee Arsene Wenger's walikuwa na hali ngumu katika uwanja wao wa nyumbani
Emirates Stadium kutokana na kubanwa mbavu na Newcastle lakini walijikwamua kwa
bao hilo moja.
Koscielny alipata upenyo katika dakika ya 72 ya mchezo na kupachika bao safi na kutwaa alama tatu katika msimamo wa ligi na kuwazidi wakiwa nafasi ya kwanza kwa alama42 wakiwazidi Leicester City ambao wametoka suluhu leo wakiwa na alama 40.

Post a Comment