
Klabu ya LA Galaxy inayoshiriki ligi ya nchini Marekani imethibitisha kumsjili aliyekuwa mlinzi wa zamani wa klabu ya soka ya Chelsea Ashley Cole.
Mkataba wa Cole's na klabu yake ya Roma inakaribia kuisha January 19 huku mchezaji huyo akionekana kuelekea nchini Marekanai kwaajili ya klabu yake hiyo mpya.
Kocha mkuu wa klabu hiyo Bruce Arena amemwagia sifa Ashley kuwa ni mchezaji mzuri ambaye amepata kucheza katika mashindano mengi na kupata mafanikio makubwa katika maisha yake ya soka
Post a Comment