
Siku
chache baada ya Uongozi wa klabu ya soka ya Yanga kumtimua aliyekuwa mchezaji
wao Haruna Noyonzima kwa kosa la utovu wa nidhamu mchezaji huyo amejitokeza na
kusema kuwa hajapewa utambulisho wowote wa kusema yeye sio mchezaji wa klabu
hiyo.
Niyonzima
amesema kwa kawaida kama mchezaji umevunjiwa mkataba na klabu yako lazima ikupe
kielelezo yaani barua ya kutokutambua lakini yeye hajapewa barua yoyote hadi
sasa.
Amesema
yeye bado ni mchezaji halili wa klabu ya yanga kutokana na kutopata baruayoyote
kutoka katika uongozi wa yanga wa kuvunja mkataba wake zaidi ya kusikia katika
vyombo vya habari.
Yanga
ilivunja makata wa mchezaji huyo na klabu hiyo kwa madai ya kuwa mchezaji huyo
amekuwa na tabia ya kutorejia kambini kwa muda muafaka aliopangiwa na kutoka na
utovu huo wa nidhama ambayo imeonekena ikijirudia rudi waka vunja makataba na
mchezaji huyo.
Post a Comment