Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

RAIOLA :POGBA ANG'OKI JUVENTUSI.



 
Mino Raiola ambaye ni wakala wa kiungo wa klabu ya Juventus Paul Pogba amekanusha tetesi kuwa Barcelona ndio wenye nafasi ya kumsajili kiungo wa huyo wa kimataifa wa Ufaransa mwishoni mwa msimu huu.


Raiola amesema Pogba amekuwa mmoja kati ya wachezaji wanaowindwa zaidi duniani toka alivyojiunga na Juventus kwa uhamisho huru akitokea Manchester United majira ya kiangazi mwaka 2012.

Nyota huyo amefanikiwa kushinda mataji matatu ya Serie A akiwa na Juventus na kutinga hatua ya fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu uliopita.

Na klabu ya Juventus bado ina mkataba na Pogba unaomalizika mwaka 2019 lakini ofa kutoka katika klabu kubwa zinaweza kutolewa katika kipindi cha kiangazi.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget