Beki nguli wa klabu ya soka ya Paris Saint-German
Thiago Silva anaamini klabu yake inaweza ikamsajili mshambuliaji hatari wa
klabu ya soka ya Barcelona Lionel Messi ambaye ni raia wa Argentine au
Cristiano Ronaldo ambaye ni raia wa Portuguese katika kipindi cha usajili.
Silva anaamini kumsajili mshambuliaji wa Barcelona kama Neymar inaweza kuwa kama daraja
kubwa kwa Paris Saint-Germain,lakini
klabu yake ianaweza ikapata hafueni kama ikiwachukua nyota Lionel Messi au Cristiano
Ronaldo.
Mabingwa hao wa Ligue 1 wanaamini wanataka kutumia
kiasi kikubwa cha fedha kwaajili ya kuchua nyota ambao watawaletea mafanikio
katika kipindi kijacho kuliko kumtegemea mchezaji Zlatan Ibrahimovic,ambaye
mkataba wake unakaribia kuisha.

"Nampenda sana Neymar lakini naikifiri Barcelona
haiwezi kuturuhusu kumchukuwa mchezaji huyo kutua klabuni kwetu kutoka ya kuwa
ni tegemeo lao kubwa”,Alisema Silva.
Silva amesema Neymar anamkataba na klabu yake ya Barcelona
unaomaliziki June 2018, lakini wazee hao wabut Catalans wanajiaandaa
kumuongezea mkataba mwingine mchezaji huyo.
Amesema Messi mwenye miaka 28 hivi sasa na Ronaldo
mwenye miaka 30 hivi sasa mikataba yao inaisha pamoja June 2018 lakini
Barcelona na Real Madrid wanaweza wakawaachia kwenda klabu zingine.
Post a Comment