
Klabu ya soka ya Simba imekanusha taaarifa za
kuachana na mchezaji wao Daniel Lyanga huku ikisisitiza hawana nia ya
kuachana na mchezaji huyo kwa kipindi hiki.
Hili limekuja Siku chache baada ya mchezaji huyo kutonekana katika
klabu hiyo kulizika taarifa za kuwa samba imeachana na mchezaji huyo huku pia
akiwadai kiasi cha fedha.
Haji Manara amesema kuwa mchezaji huyo alikuwa
hayupo kutokana na kwenda nyumbani kwao kwa matatizo alionayo ya kifamilia hivyo taarifa si za kweli.
Post a Comment