Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

TETESI ZA USAJILI ULAYA.



 
Klabu ya soka ya Mashetani wekundu ya Manchester United inaripotiwa kuingia katika mbio za kumuwania mshambuliaji wa Sporting Lisbon Islam Slimani baada ya nyota huyo anayekadiriwa kuwa na thamani ya paundi milioni 13 kufunga mabao 13 katika mechi 16 msimu huu,imelipoti The Sun.


Kocha Mkuu wa Real Madrid, Zinedine Zidane amemuwek kiungo wa Juventus Paul Pogba katika orodha yake ya juu katika usajili wa majira yajayo ya kiangazi,imelipoti Tuttosport.

Galatasaray imeungana na Inter Milan, Chelsea na barcelona katika mbio za kumuwania Ezequiel Lavezzi ambaye amepanga kuondoka Paris Saint-Germain pindi mkatab wake utakapomalizika mwishoni mwa msimu huu,imelipoti Calciomercato.com

Atletico Madrid inatajwa kukaribia kumuongeza mkataba Antonie Griezmann ambao utafanya mshahara wake kuongezeka na ada ya kuvunja mkataba kupaa kutoka euro milioni 80 mpaka 100. Klabu za Paris saint-Germain na Real Madrid zote zinatajwa kumuwania,imelipoti AS


Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget