Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

VAN GAAL:MSIBWETEKE NA KUOTA MAFANIKIO BILA KUJITUMA.



 
Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal amesema hakuna miujiza ya kuimarisha hali ya klabu hiyo zaidi ya timu nzima kwa ujumla kujituma na kuongeza bidii.


Akihojiwa Van Gaal amesema jambo muhimu wanaloweza kufanya ni kuangalia walipokosea na kuona jinsi gani wanaweza kuboresha kama timu ili waweze kupata matokeo wanayohitaji.

United wamecheza mechi nane bila kushinda hata moja, sita zikiwa Ligi Kuu hivyo kuwafanya kuporomoka mpaka nafasi ya sita katika msimamo.

Lakini Mbali na kushuka katika msimamo pia wameng’olewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na kuangukia katika michuano ya Europa League.




Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget