Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

AGUERO ACHAGULIWA KUWA MCHEZAJI BORA WA EPL.



 
Mshambuliaji wa klabu ya soka ya Manchester City, Kun Aguero ameteuliwa kuwa mwanasoka bora wa Ligi Kuu England kwa mwezi Januari.


Aguero raia wa Argentina amebeba tuzo hiyo baada ya kufungia mabao matano klabu yake katika mechi nne za mwezi huo.

Aguero alikuwa majeruhi kabla ya kurudi tena dimbani kusakata kabumbu na alikuwa akihusisha na kuihama klabu yake na kuelekea nchini Hispani katika klabu ya Real Madrid.

Naye Ronald Koeman ameshinda tuzo ya kocha Bora wa Mwezi Januari England, baada ya kuiongoza Southampton kuzifunga Watford, West Brom na Manchester United.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget